Ungana nasi kila siku kupata Habari za Michezo,Usajili pamoja na Habari nyingine nyingi
Hapa kasi tu
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
Jiunge na kifurushi cha kimataifa upige simu Uingereza na sehemu nyingine mbalimbali kwa gharama nafuu Piga *149*71# . Tembelea hapa kufahamu zaidi http://bit.ly/2cxxK2K
Pombe ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi pasipo hata kufahamu athari zake. Pombe ina athari mbalimbali kiafya na kisaikolojia. Wengi baada ya kuathiriwa na pombe hutamani kuacha matumizi ya pombe lakini ni wachache tu ndiyo hufanikiwa katika hili. Mwingereza Matt Haig ambaye ameandika kitabu kilichouzika sana cha ‘Reasons to Stay Alive’ anasema yeye akinywa pombe humletea wasiwasi hofu na uoga anatoa ushauri wa namna ya kufanya ili asinywe pombe. “Hata kama watu hawakulazimishi kunywa nafsi yako tu inajisuta ni kama vile watu wasiokula nyama halafu umekaa kati yao unakula unajiona kama unawakosea unaweza ukajiondoa hapo,” anasema Haig. Jinsi ya Kuacha Pombe Tumia Mbinu hizi 1. Epuka watu watakaokushawishi kunywa pombe Mara nyingi kama wewe unapenda kunywa pombe utakuwa na marafiki wanaokunywa pombe pia. Ni wazi kuwa marafiki wanaokunywa pombe watakuhimiza kunywa hata kwa kukununulia au hata pengine kukukebehi na kukubeza juu ya uamuzi wako wa kuacha pombe. Hivyo ik...
Comments
Post a Comment