EPL KESHO J/MOSI

BIG MATCH.

EPL KESHO J,MOSI 24.SEP.2016

Manchester United  Kuwakaribisha mabingwa watetezi Leicester city Majira ya saa 8:00 Mchana, Huku ARSENAL akivaana na CHELSEA saa 1:30 jioni,
Mechi zingine za mapema-  Manchester city wageni wa SWANSEA CITY,
Liverpool vs Hull city,
Bournemouth vs Everton,
Middlesbrough vs Tottenham hotspurs,
Stoke city vs West brom
Sunderland vs C.palace.
Mechi zote hizi majira ya saa 11:00 jioni.

@SIKU NJEMA TUKUTANE KESHO TUONE NANI KUONDOKA NA PTS3.

Comments

Popular posts from this blog